Ufafanuzi wa kiyeye katika Kiswahili

kiyeye

nomino

  • 1

    ganzi ya meno.

Matamshi

kiyeye

/kijɛjɛ/