Ufafanuzi wa kiyuyu katika Kiswahili

kiyuyu

nomino

  • 1

    mmea ambao majani yake ni sumu kwa samaki.

    kibaazi, utupa

Matamshi

kiyuyu

/kijuju/