Ufafanuzi wa kizaazaa katika Kiswahili

kizaazaa

nominoPlural vizaazaa

  • 1

    hali ya fujo ambapo watu hawasikilizani.

    vurumai

Matamshi

kizaazaa

/kiza:za:/