Ufafanuzi wa kizibao katika Kiswahili

kizibao

nomino

  • 1

    vazi kama koti fupi lisilo na mikono.

    kapa, jambakoti

Matamshi

kizibao

/kizibawÉ”/