Ufafanuzi wa kizimwili katika Kiswahili

kizimwili

nominoPlural vizimwili

  • 1

    maradhi ya mmea, agh. mtama au mpunga, ambayo huzuia ukuaji wa mbegu na badala yake hutoa ungaunga mweusi unaojifunga kwenye shuke.

    ‘Mweusi kama kizimwili’

Matamshi

kizimwili

/kizimwili/