Ufafanuzi msingi wa kizingo katika Kiswahili

: kizingo1kizingo2

kizingo1

nomino

  • 1

    kitu kinachopindika kama njia au mto.

Matamshi

kizingo

/kizingO/

Ufafanuzi msingi wa kizingo katika Kiswahili

: kizingo1kizingo2

kizingo2

nomino

  • 1

    mchanga usio wa vumbi unaotumika kwa kujengea.

Matamshi

kizingo

/kizingO/