Ufafanuzi wa kizuio-kwamiza katika Kiswahili

kizuio-kwamiza

nominoPlural vizuio-kwamiza

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    konsonanti ambayo hutamkwa kwa kuibana kabisa hewa kisha ikaachiwa taratibu ili itoke kwa mwendo wa kukwamiza.

  • 2

    Sarufi
    namna ya utamkaji wa konsonanti kwa kubana mkondo wa hewa na kisha kuuachia taratibu.

Matamshi

kizuio-kwamiza

/kizuijOkwamiza/