Ufafanuzi wa kizuizi katika Kiswahili

kizuizi

nomino

  • 1

    kitu kinachozuia maendeleo ya kitu kingine.

    kikwazo, kizingiti

Matamshi

kizuizi

/kizuwizi/