Ufafanuzi wa kizuizini katika Kiswahili

kizuizini

nominoPlural vizuizini

  • 1

    mahali panapowekwa watuhumiwa wa makosa ya k.v. ujasusi au njama ya kuangusha serikali hadi watakapofikishwa mahakamani na kuhukumiwa.

    ‘Watuhumiwa wa njama ya kuangusha serikali wametiwa kizuizini’

Matamshi

kizuizini

/kizuwizini/