Ufafanuzi wa kizuizui katika Kiswahili

kizuizui

nominoPlural vizuizui

  • 1

    kitambaa kinachofungwa machoni ili mtu asione.

  • 2

    bui, buye

Matamshi

kizuizui

/kizuwizi/