Ufafanuzi msingi wa kizuu katika Kiswahili

: kizuu1kizuu2

kizuu1

nominoPlural kizuu, Plural vizuu

  • 1

    chakula kama uji kitengenezwacho kwa mahindi machanga yaliyosagwa na kukamuliwa.

Matamshi

kizuu

/kizu:/

Ufafanuzi msingi wa kizuu katika Kiswahili

: kizuu1kizuu2

kizuu2

nominoPlural kizuu, Plural vizuu

  • 1

    mtu aliyefunikwa kwa mazingaombwe ili kutumika nyumbani kwa mchawi; kijumbe wa mchawi.

Matamshi

kizuu

/kizu:/