Ufafanuzi wa kodisha katika Kiswahili

kodisha

kitenzi elekezi

  • 1

    ruhusu mtu aishi kwenye nyumba yako au atumie ardhi au kifaa chako kwa kipindi maalumu kwa malipo.

Matamshi

kodisha

/kOdia/