Ufafanuzi wa koka katika Kiswahili

koka

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    washa moto kwa kuni, mkaa au majani.

Matamshi

koka

/kOka/