Ufafanuzi wa kokeni katika Kiswahili

kokeni

nominoPlural kokeni

  • 1

    aina ya dawa ya kulevya.

Asili

Kng

Matamshi

kokeni

/kOkɛni/