Ufafanuzi wa koki katika Kiswahili

koki

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    vuta kirungu ili kuweka tayari risasi ndani ya bunduki kwa kufyatuliwa.

Asili

Kng

Matamshi

koki

/kOki/