Ufafanuzi msingi wa koko katika Kiswahili

: koko1koko2koko3

koko1

nominoPlural koko

 • 1

  mbegu ngumu iliyo ndani ya tunda k.v. embe, koche au kunazi.

  kokwa

Matamshi

koko

/kOkO/

Ufafanuzi msingi wa koko katika Kiswahili

: koko1koko2koko3

koko2

nominoPlural koko

 • 1

  miti inayomea baharini.

Matamshi

koko

/kOkO/

Ufafanuzi msingi wa koko katika Kiswahili

: koko1koko2koko3

koko3

kivumishi

 • 1

  -enye kuzurura ovyo; -siyofuata kanuni za maisha.

  ‘Mbwa koko’

Matamshi

koko

/kOkO/