Ufafanuzi wa kokomea katika Kiswahili

kokomea

kitenzi elekezi

  • 1

    lazimisha kitu kikubwa kuingia mahali padogo.

    ‘Kokomea mpini kwenye jembe’

Matamshi

kokomea

/kOkOmɛja/