Ufafanuzi wa kokomoa katika Kiswahili

kokomoa

kitenzi elekezi~ana, ~lea, ~leana, ~leka, ~lesha, ~lewa

  • 1

    tumia nguvu katika kutoa kitu kilichokwama mahali k.v. kinywani ama tumboni.

Matamshi

kokomoa

/kOkOmOwa/