Ufafanuzi wa kokona katika Kiswahili

kokona

kitenzi sielekezi

  • 1

    jipangusa choo kwa kusugua matako kwenye mchanga, majani au jiwe.

    ‘Mbwa hukokona anapokwenda choo’
    sosona

Matamshi

kokona

/kOkOna/