Ufafanuzi wa kokoteza katika Kiswahili

kokoteza

kitenzi elekezi

  • 1

    rudiarudia au tilia mkazo maneno; sisitiza jambo au maneno.

    kariri