Ufafanuzi wa kokoto katika Kiswahili

kokoto

nominoPlural kokoto

  • 1

    vipande vidogovidogo vya mawe ambavyo agh. hutumiwa katika ujenzi wa nyumba na barabara.

Matamshi

kokoto

/kOkOta/