Ufafanuzi wa kolea katika Kiswahili

kolea

kitenzi elekezi~ewa, ~za

 • 1

  kiasi cha kutosheleza.

  ‘Chai imekolea sukari’
  ‘Chumvi imekolea katika mboga’

 • 2

  shika rangi vizuri.

  ‘Kitambaa hiki rangi yake imekolea’
  pasha

Matamshi

kolea

/kOlɛja/