Ufafanuzi wa kolekole katika Kiswahili

kolekole

nominoPlural kolekole

  • 1

    samaki asiye na magamba, mwenye umbo bapa, rangi ya fedha na mkia mwembamba mrefu.

Matamshi

kolekole

/kOlɛkOlɛ/