Ufafanuzi wa kolestero katika Kiswahili

kolestero

nominoPlural kolestero

  • 1

    mafuta yanayoganda katika kingo za mishipa ambayo huweza kusababisha ugonjwa wa moyo.

Asili

Kng

Matamshi

kolestero

/kOlɛstɛrO/