Ufafanuzi msingi wa koloni katika Kiswahili

: koloni1koloni2

koloni1

nominoPlural koloni

  • 1

    nchi inayotawaliwa na nchi nyingine yenye walowezi walioshika madaraka.

    istiimari

Asili

Kng

Matamshi

koloni

/kOlOni/

Ufafanuzi msingi wa koloni katika Kiswahili

: koloni1koloni2

koloni2

nominoPlural koloni

  • 1

    alama ya uakifishaji (;).

    nuktapacha, nuktambili

Matamshi

koloni

/kOlOni/