Ufafanuzi wa komaa katika Kiswahili

komaa

kitenzi sielekezi

  • 1

    fikia hali ya kupevuka.

  • 2

    kuwa kubwa; kuwa zee.

Matamshi

komaa

/kOma:/