Ufafanuzi wa komaza katika Kiswahili

komaza

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kitu kikomae au kiwe kigumu.

  • 2

    fanya mtoto ajue mambo ambayo yako juu ya umri wake.

Matamshi

komaza

/kOmaza/