Ufafanuzi msingi wa komba katika Kiswahili

: komba1komba2komba3komba4

komba1

kitenzi elekezi

 • 1

  ondoa sehemu ya kitu k.v. asali, chakula au mchuzi kutoka kwenye bakuli au chungu kwa kupitisha kidole.

  ‘Komba chungu’

Matamshi

komba

/kOmba/

Ufafanuzi msingi wa komba katika Kiswahili

: komba1komba2komba3komba4

komba2

kitenzi elekezi

 • 1

  filisi

Matamshi

komba

/kOmba/

Ufafanuzi msingi wa komba katika Kiswahili

: komba1komba2komba3komba4

komba3

nomino

 • 1

  mnyama mdogo anayelialia usiku afananaye na kima.

Matamshi

komba

/kOmba/

Ufafanuzi msingi wa komba katika Kiswahili

: komba1komba2komba3komba4

komba4

nomino

Matamshi

komba

/kOmba/