Ufafanuzi wa kombaini katika Kiswahili

kombaini

nominoPlural kombaini

  • 1

    timu iliyoundwa na wachezaji waliochaguliwa kutoka timu mbalimbali kwa ajili ya mechi maalumu.

    ‘Timu ya kombaini’

Matamshi

kombaini

/kOmbajini/