Ufafanuzi wa kombe la Dunia katika Kiswahili

kombe la Dunia

  • 1

    kikombe kikubwa kilichotengenezwa kwa madini ya thamani kubwa, ambacho hutolewa kishindaniwe na mataifa mbalimbali ya dunia katika michezo k.m. mpira wa miguu.