Ufafanuzi msingi wa kome katika Kiswahili

: kome1kome2kome3kome4

kome1

nominoPlural kome, Plural makome

 • 1

  fimbo ndefu inayotumiwa katika shughuli maalumu k.v. kwenye mchezo wa hoki au ngomani.

  hoki

Matamshi

kome

/kOmɛ/

Ufafanuzi msingi wa kome katika Kiswahili

: kome1kome2kome3kome4

kome2

nominoPlural kome, Plural makome

Kidini
 • 1

  Kidini
  fimbo itumiwayo na imamu siku za Ijumaa wakati wa kuhutubu katika mimbari na nyakati za sala za Idi.

 • 2

  Kidini
  fimbo ya enzi.

Matamshi

kome

/kOmɛ/

Ufafanuzi msingi wa kome katika Kiswahili

: kome1kome2kome3kome4

kome3

nominoPlural kome, Plural makome

 • 1

  kinyama cha baharini chenye gamba gumu kilicho katika jamii ya chaza ambacho hukaa katika miamba na mawe.

  duvi

Matamshi

kome

/kOmɛ/

Ufafanuzi msingi wa kome katika Kiswahili

: kome1kome2kome3kome4

kome4

nominoPlural kome, Plural makome

 • 1

  mmea unaotambaa, na sumu yake hutumika katika mishale.

Matamshi

kome

/kOmɛ/