Ufafanuzi msingi wa komeo katika Kiswahili

: komeo1komeo2

komeo1

nominoPlural makomeo, Plural komeo

  • 1

    mti au kipande cha mti cha kufungia mlango au dirisha.

    kipingwa, kia, kiwi, pingo, kongomeo

Matamshi

komeo

/kOmɛwO/

Ufafanuzi msingi wa komeo katika Kiswahili

: komeo1komeo2

komeo2

nominoPlural makomeo, Plural komeo

  • 1

    mahali bahari inapoingia ndani.

    hori, ghuba

Matamshi

komeo

/kOmɛwO/