Ufafanuzi wa komunyo katika Kiswahili

komunyo

nominoPlural komunyo

  • 1

    Kidini
    mkate na divai inayonywewa na wafuasi wa baadhi ya madhehebu ya Ukristo, agh. wakati wa misa.

  • 2

    chakula cha Bwana.

Asili

Kng

Matamshi

komunyo

/kOmu3O/