Ufafanuzi msingi wa kona katika Kiswahili

: kona1kona2

kona1

nominoPlural kona

 • 1

  mahali ambapo barabara inabeta.

  gurufa

 • 2

  pembe k.v. ya kiwanja cha mpira katika mchezo wa mpira, nyumba, shamba, n.k..

Asili

Kng

Matamshi

kona

/kOna/

Ufafanuzi msingi wa kona katika Kiswahili

: kona1kona2

kona2

nominoPlural kona

 • 1

  upigaji wa mpira kutoka kwenye pembe ya kiwanja baada ya mpira huo kupigwa na adui na kutoka upande wa goli.

  ‘Piga kona’

Asili

Kng

Matamshi

kona

/kOna/