Ufafanuzi wa kondesha katika Kiswahili

kondesha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kuwa nyembamba na dhaifu.

    gofua

Matamshi

kondesha

/kOndɛʃa/