Ufafanuzi wa kondoo katika Kiswahili

kondoo

nominoPlural kondoo

  • 1

    mnyama afugwaye, mkubwa kama mbuzi, mwenye manyoya marefu yatengenezwayo sufu.

    ng’onzi

Matamshi

kondoo

/kOndO:/