Ufafanuzi wa kongamana katika Kiswahili

kongamana

kitenzi sielekezi

  • 1

    kubaliana jambo pamoja na watu wengine waliokutana kujadili au kufikiri jambo fulani.

Matamshi

kongamana

/kOngOmana/