Ufafanuzi msingi wa kongoa katika Kiswahili

: kongoa1kongoa2

kongoa1

kitenzi elekezi

  • 1

    ng’oa k.v. misumari au miti ya vitanda kutoka katika tendegu.

    ‘Kongoa pembe’

Matamshi

kongoa

/kOngOwa/

Ufafanuzi msingi wa kongoa katika Kiswahili

: kongoa1kongoa2

kongoa2

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kuwa -zee.

    zeesha

Matamshi

kongoa

/kOngOwa/