Ufafanuzi wa kongota katika Kiswahili

kongota

kitenzi elekezi

  • 1

    gota kitu kilicho na uwazi ili kusikia mlio wake au kutoa kilichomo ndani.

Matamshi

kongota

/kOngOta/