Ufafanuzi msingi wa kongoti katika Kiswahili

: kongoti1kongoti2

kongoti1

nominoPlural makongoti

  • 1

    ndege anayefanana na korongo.

Matamshi

kongoti

/kOngOti/

Ufafanuzi msingi wa kongoti katika Kiswahili

: kongoti1kongoti2

kongoti2

nominoPlural makongoti

  • 1

    mchezo ambao watu hujivika vijiti na majani wakajifanya korongo.

  • 2

    mchezo wa kuigiza wa kufanya sanamu ndefu yenye miguu mirefu ya miti.

Matamshi

kongoti

/kOngOti/