Ufafanuzi wa kongowea katika Kiswahili

kongowea

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lea, ~leana, ~lewa, ~sha

  • 1

    amkia kwa unyenyekevu.

    heshimu, nyenyekea

  • 2

    karibisha mtu kwa uzuri.

Matamshi

kongowea

/kOngOwɛja/