Ufafanuzi wa konyagi katika Kiswahili

konyagi

nominoPlural konyagi

  • 1

    kileo kinachotengenezwa kwa mvuke wa matunda, nafaka, n.k., zilizochachushwa.

Asili

Kng

Matamshi

konyagi

/kO3agi/