Ufafanuzi wa konyezo katika Kiswahili

konyezo

nominoPlural makonyezo

  • 1

    ishara inayofanywa kwa kukonyeza.

Matamshi

konyezo

/kO3ɛzɔ/