Ufafanuzi wa koongo katika Kiswahili

koongo

nomino

  • 1

    vishimo vya kupandia mbegu.

  • 2

    sehemu ya ardhi iliyo chini ya korongo.

Matamshi

koongo

/kO:ngÉ”/