Ufafanuzi msingi wa kopa katika Kiswahili

: kopa1kopa2kopa3kopa4

kopa1

nominoPlural makopa, Plural kopa

 • 1

  kipande kikavu cha muhogo uliolengwa.

 • 2

  ubale wa muhogo, ndizi au kiazi uliokaushwa.

Matamshi

kopa

/kOpa/

Ufafanuzi msingi wa kopa katika Kiswahili

: kopa1kopa2kopa3kopa4

kopa2

nominoPlural makopa, Plural kopa

 • 1

  karata yenye chapa ya umbo kama moyo.

Matamshi

kopa

/kOpa/

Ufafanuzi msingi wa kopa katika Kiswahili

: kopa1kopa2kopa3kopa4

kopa3

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

 • 1

  chukua fedha au kitu kinachouzwa na kuahidi kulipa baadaye.

Matamshi

kopa

/kOpa/

Ufafanuzi msingi wa kopa katika Kiswahili

: kopa1kopa2kopa3kopa4

kopa4

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

 • 1

  punja, hasa katika uuzaji au ugawanyaji wa vitu.

Matamshi

kopa

/kOpa/