Ufafanuzi wa kopesa katika Kiswahili

kopesa

kitenzi elekezi

  • 1

    peleka kope juu na chini.

    ‘Kopesa macho’
    pepesa

Matamshi

kopesa

/kOpɛsa/