Ufafanuzi msingi wa kopoa katika Kiswahili

: kopoa1kopoa2

kopoa1

kitenzi sielekezi~ana, ~lea, ~leana, ~leka, ~lesha, ~lewa

  • 1

    toa mtoto tumboni.

    ‘Sina tumbo la kumkopoa mtoto kama huyo’
    zaa

Matamshi

kopoa

/kOpOwa/

Ufafanuzi msingi wa kopoa katika Kiswahili

: kopoa1kopoa2

kopoa2

kitenzi sielekezi~ana, ~lea, ~leana, ~leka, ~lesha, ~lewa

  • 1

    jiondoa ngozi kama vile nyoka afanyavyo baada ya kumeza kitu.

Matamshi

kopoa

/kOpOwa/