Ufafanuzi wa kore katika Kiswahili

kore

nomino

  • 1

    ndege mwenye junju dogo kichwani na ana rangi ya kijivu.

Matamshi

kore

/kOrÉ›/