Ufafanuzi wa korijanda katika Kiswahili

korijanda

nomino

  • 1

    sanaa inayobuniwa na kupangwa hatua na miondoko katika maonyesho mbalimbali k.v. katika muziki wa dansi, mashindano ya urembo, n.k..

Asili

Kng

Matamshi

korijanda

/kOriʄanda/