nominoPlural makororo, Plural kororo
- 1
ndege jamii ya kanga mwenye rangi nyeusi, madoa ya buluu na kishungi cha rangi nyeusi kichwani.
nominoPlural makororo, Plural kororo
- 1
nyama ya nje katika shingo ya kiumbe, k.v. kondoo, inayoning’inia.
nominoPlural makororo, Plural kororo
- 1
ugonjwa wa kuvimba kooni.